Joshua 13:17-19

17 ahadi Heshboni na miji yake yote kwenye uwanda wa juu, ikijumlishwa miji ya Diboni, Bamoth-Baali, Beth-Baal-Meoni, 18 bYahasa, Kedemothi, Mefaathi, 19 cKiriathaimu, Sibma, Sereth-Shahari juu ya kilima kilicho katika bonde,
Copyright information for SwhNEN